Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20221120_183112_com.spotify.music.jpg
 
Pole dear
naona aisee , zifanyie steaming kidogo , zitakuwa sawa .

Mimi nipo njiani hope nitawahi ..nishaikosa opening ceremony
Nimeonaaaa ila hawajacheza kujiachia sanaaa sijui ndio maadili yahuko Qatar kha!!
Steaming nimetoka kuzifanyia 2 weeks ago halafu hizo ni natural sijaweka dawa mimii!! ona hapa ilikua dec last year kiukweli zimerudi nyumaa sanaaa!!
 
Itakuwa maadili huko nasikia hawataki hata pombe na kitimoto uwanjani .

okay jaribu kufanya Ile deep conditioning labda itasaidia kidogo

Ooh jamani zilikuwa nzuri sana tena natural , basi usikate tamaa
 
Itakuwa maadili huko nasikia hawataki hata pombe na kitimoto uwanjani .

okay jaribu kufanya Ile deep conditioning labda itasaidia kidogo

Ooh jamani zilikuwa nzuri sana tena natural , basi usikate tamaa
Hio ndio ikoje??
Naonaa kwahio vya wachezaji kujiachiaaa hakuna?? Mbona wanaloo!! Hapo lazima wabehave!!
 
Hio ndio ikoje??
Naonaa kwahio vya wachezaji kujiachiaaa hakuna?? Mbona wanaloo!! Hapo lazima wabehave!!
ni kurepair nywele zilizokatika haina tofuati sana na steaming
zilizo kavu na zenye kujifungia .

japo Kuna njia za asili Kama hzi inakuwa conditioner

1. Parachichi + ndizi + yai + asali + castor oil
2. Parachichi + Plain yogurt (unflavoured) + asali + limao + castor oil + ute wa bamia
3. Kitunguu swaumu + kitunguu maji + tangawizi + limao + asali + castor oil
4. Maji ya mchele + castor oil + asali
5. Yai + limao/ndimu + castor oil + Vinegar + asali
6. Ndizi + maziwa + asali + castor oil + yai
7. Maji ya mpera + castor oil + asali
8. Majani ya chai + castor oil/mafuta ya nazi original
 
Attachments

  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    10.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom