Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,859
Mii hivo vitu hapana,,,🙌🙌🙌🙌🙌 ni vile ilinibidi tuu... Ila nakumbuka kidg kina olabisi na pa hamadaNjoo huku kwenye vyenyewe
Three suitors one husband
Julieth aisee .
Enemy of the people .
Mii hivo vitu hapana,,,🙌🙌🙌🙌🙌 ni vile ilinibidi tuu... Ila nakumbuka kidg kina olabisi na pa hamadaNjoo huku kwenye vyenyewe
Three suitors one husband
Julieth aisee .
Enemy of the people .
Nazimaliza mbona, nyingi dk 3 au 2dkNyimbo huwa unamaliza add mwisho wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Kibanda umiza ndo hapashikiki...🤣🤣🙌🙌🙌tunashangalia sie kimya kimya .
hapana chezea weuweh .
Ya leo leoMapema, au Ni picha ya jana
Daaah unainjoi sana.. vipi ufatilii WCNazimaliza mbona, nyingi dk 3 au 2dk
ooh okayMii hivo vitu hapana,,,🙌🙌🙌🙌🙌 ni vile ilinibidi tuu... Ila nakumbuka kidg kina olabisi na pa hamada
Sio mpenzi kabisa wa mapila aisee, na sijawai hata penda mpila wenyeweDaaah unainjoi sana.. vipi ufatilii WC
Sina hamu na banda umiza aiseeKibanda umiza ndo hapashikiki...🤣🤣🙌🙌🙌
Yeahhh kina uhalisia sana! title unamezaa kama ilivoo We have to to good things/ to invest/ to work hard while we live in order leave good memories that will make us be remembered for kwa uzuriii wen we are gone na si kupita kama kivuli tu ambacho kina disappear wen the sun is gone!😁😁Kitabu kizuri
nilikuwa nawaonea huruma Wakina Atwoki as if ni kweli 😂😂
Mii nilipenda sana na napenda hadi leo... Sema kuna kupenda kitu arafu chenyewe kikakukataa ndo haya sasa🥺🥺🥺ooh okay
mie sikupenda shule ...nilikuwa nasindikiza wenzangu.
Ooh yeahYeahhh kina uhalisia sana! title unamezaa kama ilivoo We have to to good things/ to invest/ to work hard while we live in order leave good memories that will make us be remembered for kwa uzuriii wen we are gone na si kupita kama kivuli tu ambacho kina disappear wen the sun is gone!😁😁
Hata mio sio mpenzi kivile ila kwa kope la dunia daah wee kweli upo seriousSio mpenzi kabisa wa mapila aisee, na sijawai hata penda mpila wenyewe



Ooh hongera , nipunguzie upako na mie .Mii nilipenda sana na napenda hadi leo... Sema kuna kupenda kitu arafu chenyewe kikakukataa ndo haya sasa🥺🥺🥺
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona una bahati sana wewe an gemu la simba na yanga kibanda umiza ukitoka salama weeehSina hamu na banda umiza aisee
niliangalia mechi ya Simba na Yanga aisee kwanza watu wamejaa wengine sijui wanavuta bhangi. ...
nilikosa hewa aisee .. ikabidi na mechi niache kuangalia nirudi gheto.
Kha sijawahi rudi Tena .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona una bahati sana wewe an gemu la simba na yanga kibanda umiza ukitoka salama weeeh
Weeeh an naona wamekuleta uwanja wa nyumbani...Yeahhh kina uhalisia sana! title unamezaa kama ilivoo We have to to good things/ to invest/ to work hard while we live in order leave good memories that will make us be remembered for kwa uzuriii wen we are gone na si kupita kama kivuli tu ambacho kina disappear wen the sun is gone!😁😁
Bar hakuna vibeee au uwezi tuu...Kha sijawahi rudi Tena .
siwezi angalia bar maana kukaa bar siwezi
Aaah siwezi kaa natazama watu wanaruka ruka kugombania mpira mmojaHata mio sio mpenzi kivile ila kwa kope la dunia daah wee kweli upo serious