Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui kama niko sahihi
At least mpaka muwe mmefanya Mila Kama mahari na uchumba ... hapo umehalalisha kidogo... hayo mengine utaachwa tu siku isiyo na jina.
Uhakika ni tushaoana shost

Japo wakati wa uchumba unapaswa kubehave as mke mtarajiwa, yan ile sio ndio dunia ishaharibika basi nawe uchukulie poa huo uchumba na kuendeleza chatting na ma Ex

Hapo akikubamba ni sekunde kakumwaga
 
Yeaaah
The shit happened to my ukoo Sis

Alipeleka mchumba kwa wazazi
Mchumba akatoa mpaka kishika uchumba

Na akaja disapiaa
Sahivi huyo Sis yuko busy na kazi zake
Naona kakoma mambo za wanaume
😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃.. huyo future husband alicheza rafu sana doooh
 
Yeaaah
The shit happened to my ukoo Sis

Alipeleka mchumba kwa wazazi
Mchumba akatoa mpaka kishika uchumba

Na akaja disapiaa
Sahivi huyo Sis yuko busy na kazi zake
Naona kakoma mambo za wanaume
Hatari.
 
Uhakika ni tushaoana shost

Japo wakati wa uchumba unapaswa kubehave as mke mtarajiwa, yan ile sio ndio dunia ishaharibika basi nawe uchukulie poa huo uchumba na kuendeleza chatting na ma Ex

Hapo akikubamba ni sekunde kakumwaga
😂😂😂😂Somo hilo sijui anaelewa mwenzako 😂😂😂
 
Uhakika ni tushaoana shost

Japo wakati wa uchumba unapaswa kubehave as mke mtarajiwa, yan ile sio ndio dunia ishaharibika basi nawe uchukulie poa huo uchumba na kuendeleza chatting na ma Ex

Hapo akikubamba ni sekunde kakumwaga
umenena vyema dear

Kweli hapo ndo unakuwa assured kidogo tena na kuringa kuwa Mrs fulani otherwise maisha bado ni safari ndefu .
 
Back
Top Bottom