Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
baadae huko .Inabidi uiandae future💯
baadae huko .Inabidi uiandae future💯
KudadekiUlivyo Li zuri
Unaachwaje kwa mfano![]()
Unaongea serious au bado tupo kwa utani 😂😂😂😂😂😂... Huruma hiyo huruma ya vipi...?Ni uchungu aisee
muwe mnatuonea huruma .
Mkiwa mnapita for fun , museme mapema 😂😂.Unaongea serious au bado tupo kwa utani 😂😂😂😂😂😂... Huruma hiyo huruma ya vipi...?
Yaaas ila alituambia mbona the way you are... Ila ulikosea sana kuruhusu kuwa stressed...Kudadeki
Yule aliefanikiwaga kunistress
Alinambiaga natamani kuiambia dunia namna navyokupenda…
Mara siku ingine aniangalieee weee afu aseme unajua we ni karembo flan hivi ila wapiiiii, alikuja kuniacha kisa sms 1 tu.
Sema sikuhizi mahusiano yamekuwa magumu 🤣Yaani inauma aisee 😂
mtu unahisi umefika kumbe ngoma haujielewi 😂
Yupo busy na chuoWewe na yolly
Badae ndo future yenyewe. So andaa sasa...baadae huko .
NilishaponaYaaas ila alituambia mbona the way you are... Ila ulikosea sana kuruhusu kuwa stressed...
Hapana sizani ka unazo za kushanto😂😂😂😂😂 sema ukweli tujue tunakusaidia vipi..!Ninazo
Za kushanto
Waseme kabisaMkiwa mnapita for fun , museme mapema 😂😂.
that shit hurts badly.
maisha yamekuwa danadanaSema sikuhizi mahusiano yamekuwa magumu 🤣
Kuna mtu niliona kasema si Ke si Me, wote siku hizi ni hit and run
Now umejifunza kitu... Now umekua solid je..?😂😂Nilishapona
Nikajaga mwambia moto alionipitisha.. akanambia nitukane umalize kabisa hasira zako 😂😂😂
OkayYupo busy na chuo
Wanawazidi hadi wanaume... Afu nyie sasa mambo kidogo tu mna lalamika weeeeeeh🤣maisha yamekuwa danadana
Hahaha hiyo kweli
wanawake wengine wanaumiza wanaume sio poa.
Thank youBadae ndo future yenyewe. So andaa sasa...
Mekuwa more than solid 😂Now umejifunza kitu... Now umekua solid je..?😂😂
Ya ExKudadeki
Yule aliefanikiwaga kunistress
Alinambiaga natamani kuiambia dunia namna navyokupenda…
Mara siku ingine aniangalieee weee afu aseme unajua we ni karembo flan hivi ila wapiiiii, alikuja kuniacha kisa sms 1 tu.

Tujue kabisaWaseme kabisa
Na mtu ujiandae kuwa we just having fun