Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mekuwa more than solid ๐Ÿ˜‚
Yaaah sasa bila ya huyo mtu still now kuna vitu usingevijua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sa hivi hata stress za ajabu ajabu huwezi kupata ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Yaaah sasa bila ya huyo mtu still now kuna vitu usingevijua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sa hivi hata stress za ajabu ajabu huwezi kupata ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Nazipataje yaaan? Bado sanaa
 
Wewe wa kunisaidia mimi[emoji1787][emoji848]

Nilishapita huko mkuu

Nina maisha ya nimle/nile nani/nini

Wakati wowote ninaojisikia
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ "" Nina maisha ya nimle nani na nile nini wakati wowot naojiskia"" hongera sana ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ila kukusaidia naweza kabisa an ๐Ÿ’ฏ
 
kulalamika ni nature yetu
tunaaangali kila kitu.
wanaume nyie ni next level maana mnawapanga wadada .

binafsi siwezi kuwa na watu wengi kisa nini , baadaye huko nikipata la kunipata nabaki kujiuliza maswali mengi
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wachache sana sasa mpo ka wewe.. na pia sio ka uwezi ila ujaamua.. sasa huyo mmja akizingua what next.. so lazima wawepo tuu wengine ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wachache sana sasa mpo ka wewe.. na pia sio ka uwezi ila ujaamua.. sasa huyo mmja akizingua what next.. so lazima wawepo tuu wengine ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
I think I'll be fooling myself ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
what do I gain by cheating ?
I know ni vizuri kuwa na back up lakini nishashindwa.

akizingua nabaki mwenyewe kama kawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ .
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] "" Nina maisha ya nimle nani na nile nini wakati wowot naojiskia"" hongera sana [emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kukusaidia naweza kabisa an [emoji817]
"..ila kukusaidia naweza kabisa an 100%"

Hizo mambo angeandika Ke atleast

Sasa napata gagaziko usitake nielewe

Nilivyoelewa
 
Back
Top Bottom