Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Mbayaumpende Yolly na wewe
habari ya leo
Mbayaumpende Yolly na wewe
habari ya leo
Pole bwana yollyMbaya
👏👏👏👏 """Kuna watu wanagombewa ila yeye anapapatukiwa"""🤣🤣🤝🥱🥱Usimchokoze Poker jamani
Mmmmh👏👏👏👏 """Kuna watu wanagombewa ila yeye anapapatukiwa"""🤣🤣🤝🥱🥱
Mi wa afyaaa kabisa . Sijui wewe mwenye sifa zote...😃Mmmmh
vipi mzima wewe ?
Nipo poa pia , Mungu mwemaMi wa afyaaa kabisa . Sijui wewe mwenye sifa zote...😃
Poker anasema ""sifa zote nzuri umebalikiwa"".. aka mention baadhi 😃😃😂😂😂 😂😂Nipo poa pia , Mungu mwema
sifa zipi .. sina hata moja .
mshamba mmoja tu mie ..Poker anasema ""sifa zote nzuri umebalikiwa"".. aka mention baadhi 😃😃😂😂😂 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 No usiseme hivo, utamfanya aje hapa ashushe mkeka 🙌🙌🙌 mi siamini ka wewe mshamba.mshamba mmoja tu mie ..
Sina la maana .
Amini tu alivyokwambiaNo usiseme hivo, utamfanya aje hapa ashushe mkeka
mi siamini ka wewe mshamba.
""Kama huna kibunda utakula kwa macho""😂😂😂😂😂😂Amini tu alivyokwambia
Halafu mkuu
Mali za watu hizo
Jikatae kiroho swafi
Amini tu hivyo Mkuu .😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 No usiseme hivo, utamfanya aje hapa ashushe mkeka 🙌🙌🙌 mi siamini ka wewe mshamba.
Wee ni mali ya mtu mkuu...,??😁😁😁😁🤣Amini tu hivyo Mkuu .
Naive mmoja nipo hapa .
Asante bibi PokerPole bwana yolly
BadoWee ni mali ya mtu mkuu...,??😁😁😁😁🤣
Good 👍👍 nilitaka nishangae toka lini mali ya mtu alafu awe mshamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤝🤝Bado
mpaka uingizwe ndani ndo unakuwa mali ya mtu.
Kwa hiyo mali ya mtu inakuwaje ?Good 👍👍 nilitaka nishangae toka lini mali ya mtu alafu awe mshamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤝🤝
Kumbe makubaliano ya awali hayatoshi kusema ni mali ya mtuBado
mpaka uingizwe ndani ndo unakuwa mali ya mtu.
Yani nikubembeleze afu ukipata hamu unamuita Poker embu niache hukoMmmhh
nipigie unibembeleze , umeme hakuna ,maji hamna . ngoma hadi jioni hii .


