Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahhaa basi nitakuita wewe 😂😂
Hahhaa basi nitakuita wewe 😂😂
Mali ya mtu.. asuki rasta😂📌🔨Kwa hiyo mali ya mtu inakuwaje ?
Sijui kama niko sahihiKumbe makubaliano ya awali hayatoshi kusema ni mali ya mtu
WehMali ya mtu.. asuki rasta😂📌🔨
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asubutuuuuuSijui kama niko sahihi
At least mpaka muwe mmefanya Mila Kama mahari na uchumba ... hapo umehalalisha kidogo... hayo mengine utaachwa tu siku isiyo na jina.
Yaaah yaas... Kwanza kwanini wanasema wee mali ya mtu 😂😂😂😂 yaani hadi natishiwa 😂😂Weh
ananyoa yeye au ?
Hapo sawaHahhaa basi nitakuita wewe![]()
hahaha noma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asubutuuuuu
Hata uchumba waweza achwaa
Kuna wanaumeeeee 🙌🙌🙌
Tunaenda kutembea tu 😂😂Hapo sawa
Tena unaongea kwa experience 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asubutuuuuu
Hata uchumba waweza achwaa
Kuna wanaumeeeee 🙌🙌🙌
Nani amekutishia 😂😂Yaaah yaas... Kwanza kwanini wanasema wee mali ya mtu 😂😂😂😂 yaani hadi natishiwa 😂😂
It depend wewe...😃
Wigelekelo... Kasema nikiendelea hivo wataandamana,,,😂😂😂😃😃Nani amekutishia 😂😂
Mmmh makubwa , kakuambia wapi ?Wigelekelo... Kasema nikiendelea hivo wataandamana,,,😂😂😂😃😃
Nimeshuhudia jama wiki mbili zilizopita wachumba wamebwagana wiki moja kabla ya kufunga ndoa. Sasa hii sijui tunaiitaje.Sijui kama niko sahihi
At least mpaka muwe mmefanya Mila Kama mahari na uchumba ... hapo umehalalisha kidogo... hayo mengine utaachwa tu siku isiyo na jina.
Kutembea wapTunaenda kutembea tu![]()
YeaaahTena unaongea kwa experience 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Jamani.. "" i'm better off alone"" 👏👏👏🤝🤝Mmmh makubwa , kakuambia wapi ?
So far, I'm not dating anyone
I think I'm better off alone .
Popote tu MkuuKutembea wap