Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 18,997
Hata uroge kwa kuchutama mi na Tinsley mpaka qiyama hatuachani. Mtoto amenidhibiti yaani ni somo kungwi fundi wa mapenzi haswa. Sauti yake nyororo tuu inatosha kunipelekesha mputa mputa. Na utanuna mpaka upasuke πUmejimalizaa sanaaaaaaa yaan saaanaaaa ππππππππππππππ ngoja kitumbua tuweke mchanga π€π€π€π€π€π€π€π€

