Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Eeh bora karanga, uji ukisusu tu ushaisha tumboni 😂Hamuwezi mkafurahia kabisa ..
Njaa sio poa , mpatapo karanga labda mpooze kidogo .
Eeh bora karanga, uji ukisusu tu ushaisha tumboni 😂Hamuwezi mkafurahia kabisa ..
Njaa sio poa , mpatapo karanga labda mpooze kidogo .
Sasa mbona mnaturusha roho mchana kweupe hivoo National Anthem wasitutoe kwenye reli tuendelee kumpa mistari tonnia mahips.Wee Kijana unataka radhi siooo 😁😁! Aliweka picha ya miguu banaa😄
Sun Kissed, Noma sana.
Chizi wewe 🤣🤣🤣🤣🤣Ile nakuwa kama nashuka na mwamvuli, ila naizamia chini kabisa alafu naibuka kama sioni vile 🤣🤣🤣
Sasa waweza enda muandalia mbaba maandalizi ya kupiga zoezi 😋😋😋 kwa amani, tuliosoma cuba tukiona miguu tunaelewa kila kitu kilichomoWewe nilituma miguu sikutuma k ..acha basi
Kwanza uji unaleta njaa balaaaEeh bora karanga, uji ukisusu tu ushaisha tumboni 😂
Basi huyu Antonnia kaanza kusifia K yako nikachanganyikiwa kabisa kusikia mnato kumbe alikuwa anazuga ili National Anthem asiendelee kumtongoza. 😂😂Wewe nilituma miguu sikutuma k ..acha basi
Mahips my foot ! Kamera tu na filter you know!!Sasa mbona mnaturusha roho mchana kweupe hivoo National Anthem wasitutoe kwenye reli tuendelee kumpa mistari tonnia mahips.
Yeah hauchelewiEeh bora karanga, uji ukisusu tu ushaisha tumboni 😂
Hao wamehamisha magori, ila huenda ni kei kweli sema ndio basi tena 😅😅Basi huyu Antonnia kaanza kusifia K yako nikachanganyikiwa kabisa kusikia mnato kumbe alikuwa anazuga ili National Anthem asiendelee kumtongoza. 😂😂
Aseee.. Inabidi mshikwe, mnafanya vibaya ana familia huyo baba


Seriously Antonnia you look amazing sana na hizo mahips zako alafu ukivaa pensi ndio kabisaaa unaua mapigo. Alafu una kasura ka kitoto sana ndio maana nasema National Anthem akikupata amepata full package yaani ya mwanamke.Mahips mavikunuka tu! Kamera tu na filter you know!!
😀😃😄😁😆😅😂🤣 🔥Hao wamehamisha magori, ila huenda ni kei kweli sema ndio basi tena 😅😅
Ni mwendo wa kupanda ngazi na kushuka tunimecheka mnooooo, had huyu ananishangaa.
Sina tattoo mie sivai vikukuuu!! Nipo Nipo tyuSeriously Antonnia you look amazing sana na hizo mahips zako alafu ukivaa pensi ndio kabisaaa unaua mapigo. Alafu una kasura ka kitoto sana ndio maana nasema National Anthem akikupata amepata full package yaani ya mwanamke.
Tutatuma kikosi kazi kimtoe mlipo mficha 🙄🙄
SanaaKwanza uji unaleta njaa balaaa
Acha tu, namuelewa sana huyu mrembo Antonnia ila namna alivyo nikazia moyoSeriously Antonnia you look amazing sana na hizo mahips zako alafu ukivaa pensi ndio kabisaaa unaua mapigo. Alafu una kasura ka kitoto sana ndio maana nasema National Anthem akikupata amepata full package yaani ya mwanamke.
Hee alikua serious au utani?Yeah hauchelewi
kikubwa katika maisha uweze kuafford chakula , matitabu na mahitaji machache , mengine hayo ni ziada .
nimemuona mtu kaweka picha anakula ugali na embe changa dah , inasikitisha hali ilivyo sasa.