Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😒😒😒😒 Nateseka sana humu, hanitaki kabisaaa, kuna siku nimewasha gari kutoka dar hadi huko alipo nimefika kahama akaninunia hapa, hata salama akawa hataki, ebu ona mafuta kiasi gani nilichoma 😭😭
We andaa vocha ya Airtel ya buku kwaajili ya Saint Anne na ya 1000 ya halotel kwaajili ya Carrasco putin alafu tuanze mashambulizi ya ukuwadi ndani ya jamii forums. Nje niachie mimi maana namba yake ninayo. πŸ€—
 
Back
Top Bottom