Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtu anapotezwaaa mazimaaa, 😅😅😅 na ID anabadiki JF anaingia kwa ratiba tena chini ya uangalizi
Carrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! 😂
 
🤣🤣🤣😂😂😁😁😁😁 kingunge ngombale 😂😂🤣😁😁😁😁
 
Mr vocha chama kubwaaaaa yule hafilisiki kizembe hivooo!!!! Atakua kaamua tu kupumzika kuchat ila anaingia nakuona koments vizuree tyuuu!!

Naomba vocha zangu poker
 
Carrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! 😂
Tunasubiri na wewe upatwe na mtu humu, maana naona una nyemelewa nyemelewa upo kwenye hit list 😅😅😅
 
Hata ungekuepo usingeambulia kitu Lenie na Rumaiya wamebaki kutumbua macho hawajui waanze na ipi wamalize na ipi kila wakijaribu vocha ishatumika.😂😂 Wamebaki wameduwaa ila uliitwa alafu hukuja
Yaani na mie vocha za kukwangua sijazoea yaani ungeniona nilivyokua nahangaika ipi ni ipi ungenionea huruma na kunitumia vocha za voda pm😛😛
 
Hata ungekuepo usingeambulia kitu Lenie na Rumaiya wamebaki kutumbua macho hawajui waanze na ipi wamalize na ipi kila wakijaribu vocha ishatumika.😂😂 Wamebaki wameduwaa ila uliitwa alafu hukuja
Wee nimekusubiria mpaka basi.japo zahivo kweli ningekosa tu🤣🤣!!

Barikiwa piaa rafiki haikuwa ridhiki Yangu!!
Uwe unaweka za copy and paste jamaneee
 
Back
Top Bottom