Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,488
Nyie msubir mtabebwa na maombi mlangoni hamuwez pita😂😂Sisi tusio wembamba na tuna miili km mitungi ya kuwekea maji tumekwisha.
Depal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nyie msubir mtabebwa na maombi mlangoni hamuwez pita😂😂Sisi tusio wembamba na tuna miili km mitungi ya kuwekea maji tumekwisha.
Depal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
😂 Yaani vijana hawaachii kitu kwaajili ya wazee 😂 pole ngoja mnyamwezi wangu National Anthem amesema baadae anaweka za 50k.Heeeh!!!ama kweli nazeeka..Yani na kua kote attention na bado bilabila..😂😂😂😂pipooooz🙌🙌
Unapishana na G-Wagon
Mie mwenyewe 50k 🤣🤣🤣 acha kwanza wale jeuri yao..😂 Yaani vijana hawaachii kitu kwaajili ya wazee 😂 pole ngoja mnyamwezi wangu National Anthem amesema baadae anaweka za 50k.
Punguza njaaaa mdada mzuri hivyoNilikuwa standby
Unataka na huyo kumfuta 🤣🤣🤣Tunaomba lift.
Mie nasubiri kupatwa na wewe kabisaaa 😅😅😅 nasubiri hiyo fursa hata haikuji sijui nani kanirogawee Mr kahawa ntakutupia jini? Nataka niwafute wote, bado wee hapo.
Naweka vocha alafu hata kuambiwa napendwa haipo 😅😅😅 acha nipambane tu huku huku kitaaaMkuu Antonnia dada yangu kakosa vocha huu ndio muda wa kuchukua point tatu muhimu ugenini.
🙌 Ila watu mna maneno eti anataka kumfuta! 😂😂😂Unataka na huyo kumfuta 🤣🤣🤣
😊😊😊 Aseee.. Inabidi mshikwe, mnafanya vibaya ana familia huyo babaNiko nae hapa namkuna kidevu
Mtu anapotezwaaa mazimaaa, 😅😅😅 na ID anabadiki JF anaingia kwa ratiba tena chini ya uangalizi🙌 Ila watu mna maneno eti anataka kumfuta! 😂😂😂
Acha nikufanyie zoezi 😅😅😅kuwa mpoleeee naanza m1 m1, zamu yako itafika tyuuh.
Kwani tuliambiwaje wadada wa huu uzi? Acha tuendelee kukuza brand ya njaa 🤣Punguza njaaaa mdada mzuri hivyo
🤣🤣 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Itel, bontel 🤣🤣Ndyo kiswaswadu hicho,sasa wee mtu akupe itel kweli?
Hizo akili zikikutana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!Mie nasubiri kupatwa na wewe kabisaaa 😅😅😅 nasubiri hiyo fursa hata haikuji sijui nani kaniroga