Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee mjomba kasema tupambane nahali zetu eti hatumwambii Ailavyu hata ya uongo na kweli tu😂😂😁😁😁
Madame tonnia kweli kwa umri wako na body lako lenye hips tamu huna kitambi kifua kizuri maskio yako matamu sana ukiyalamba na bado National Anthem anakuwa mjeuri na mbahili kweli. Mkuu National Anthem nenda pm kwa Madame tonnia na vocha ipo wazi wahi sasa kabla wanga hawajafika. 😂
 
Ntu

Hata hiyo PM amgekuwa kanifungulia labdaaa 😂😂😂😂 huko nimepigwa pin kitambooo sanaaa
 
Bwana Fulani niambie hii kitu unaipata
Screenshot_20221115_162729_com.audiomack.jpg
 
Madame tonnia kweli kwa umri wako na body lako lenye hips tamu huna kitambi kifua kizuri maskio yako matamu sana ukiyalamba na bado National Anthem anakuwa mjeuri na mbahili kweli. Mkuu National Anthem nenda pm kwa Madame tonnia na vocha ipo wazi wahi sasa kabla wanga hawajafika. 😂
Vocha muweke hapahapaa selfikaaa raha ya vocha kugombaniaa banaaaa! Kwahio vocha ndio imlete pm mtu mzima kweli mjomba?? National Anthem Anthem ??
 
Carrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! 😂
🤣🤣
Putin yupo na yolly wake hana habari
 
Back
Top Bottom