Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,544
- 18,237
Habari za mchana waheshimiwa,mimi namshukuru mungu ni mzima wa afya tele.
[emoji39]ijia ile pensi banaKhaaaa
Haupiti dukani siku hizi shem..Umeacha kuvaa au umebadili kijiwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha""Mganga bana.. Sio mrogi[emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Teh teh..Bro kwani mimi na wewe tunadhuriana?..We huyu anachukua kwangu.
Fanya kitu Mzee mwenzangu waondokane na hiyo hofu. Pika vitu.Eti wanaogopa kujaza server halafu pia wanaogopa mamende na mafisi
Umemisiwa babe
Aliyekuficha babe mmmh [emoji144][emoji2534][emoji3601][emoji144][emoji2534][emoji3601]
Hakunaa....nipooo,umefungiwa wapi?
jogoo umewikaa mchana