Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,292
Inasaidia kuwakwepa wapenzi watazamaji waunga picha...
Hii option mbaya sana
Hii option mbaya sana
Baharia
Picha ya dada yetu Heaven Sent nauzaDah! Yaani nimeamka mapema leo ili nisafishe macho kidogo humu ndani lakini maji hakuna. Wekeni picha wakuu Heaven Sent Hawachi tafadhalini nisuuzie macho. Ahsanteni kwa wema wen u
![]()



unaniita mie cha ubishi mtoto wa watu mpole hivi jamani
Nini na wewe cha ubishi





Bata limeisha... Nimerudi kutumika... Loh hakuna siku ngumu kama J3 hasa ukiwa umeshamaliza kibubu choteView attachment 1260151





Haswaaa...tena unaweka na komenti kabisa...unafuta picha unaacha maneno
uzi hautanufaika maana ni vya kibabe labda vingekuwa vya mtoto mzuri sawaHahah...kwa manufaa ya uzi
Okei okeeeiuzi hautanufaika maana ni vya kibabe labda vingekuwa vya mtoto mzuri sawa
Bata limeisha... Nimerudi kutumika... Loh hakuna siku ngumu kama J3 hasa ukiwa umeshamaliza kibubu choteView attachment 1260151





Dah! Yaani nimeamka mapema leo ili nisafishe macho kidogo humu ndani lakini maji hakuna. Wekeni picha wakuu Heaven Sent Hawachi tafadhalini nisuuzie macho. Ahsanteni kwa wema wen u
![]()
Haha hiyo hela uitume kwenye namba yangu
Mkuu hiyo pete unaweza kuvua kweli imebana mno
Jana mama Mchungaji nilikuwa na semina na kinamama nikakosa hata muda wa kujiphotoa na haiba yangu
UmepitwaaaaaaWatu8 natambua uwepo wako mkwe wangu, RRONDO leo haujapika ubwabwa? Tupia tuone kama umeimprove.
Heaven Sent bado sijasahau.
cute b nasubiri kitenge cha kanisani
Ulikuwa umelala nini?Haha hiyo hela uitume kwenye namba yangu