Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,638
- 7,145
Morning
Natafuta wa kumroga halafu nimtibu nipate kianzio cha wiki
Ulikuwa umelala nini?Haha hiyo hela uitume kwenye namba yangu
Wewe hapana.... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Hakika mkuu mrogi mshanaNimeyatamani... Haya ya kuivia mtini ni matamu sana
Nakupenda
Hilo neno lina ukakasi sana mkuuNakupenda
Inatoka bila tatizo kabisaMkuu hiyo pete unaweza kuvua kweli imebana mno