Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamanii
 
Siachi kuwafatilia 🀣🀣

Tena nikiona tu unachekeana na mtu me, tayari anakuwa bwanako.. nakutia kwenye list πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu naanza zungukia pm za watu kuwapa ka ubuyu 🀣🀣🀣

Ghaiiiiiiii
Uwiii basi nitakua na mabwana wengi humu ndani 🀣🀣🀣🀣 maana kununa me siwezi
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚! Jf πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kumbe uzi una wababa wakubwa hivo na hamsemii 🀣🀣🀣
 
️
️
️
 
Unasubiri mtu akajitambulishe unadhani ndiyo kigezo cha kutokuachwa? Hivi unatujua au unatusikia. Mi binafsi niliwahi kujiita paulo nikaenda huko mbeya kwa kina Saint Anne na bdo nilimuacha kwenye mataa πŸ˜‚ amebaki kuniita mbwa tu mpaka leo.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ushindwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…