Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haina watumiamiaji tigo ndio niliweka za buku buku alafu zilikuwa maalum kwaajili ya dada zetu wewe zamu yako bado ikifika ntakuita Carrasco putin [emoji23][emoji119]
Sema una bahatii siku hzi Sina mood ya vocha ningepita nazo sijui special kwa wadada hilo mm sielewi hata mm Nina Dada [emoji41][emoji41]
 

Attachments

  • 973C253E-5E3E-4833-9620-BFD69E5982A2.jpeg
    973C253E-5E3E-4833-9620-BFD69E5982A2.jpeg
    2.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom