National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
🥲🥲🥲 ila hunitaki, niliweka zilw vocha kwasababu kuna kitu ulifanya nikafurahi sanaKweli Kabisa mjomba ubarikiwe mnoo!! Ulijua kutubariki sio kidogo eti!! 😘
🥲🥲🥲 ila hunitaki, niliweka zilw vocha kwasababu kuna kitu ulifanya nikafurahi sanaKweli Kabisa mjomba ubarikiwe mnoo!! Ulijua kutubariki sio kidogo eti!! 😘
Umeona GenuineMan hata uandishi wangu kwa mtu mzima anaelewa namna nilivyo kufaJamaa kakuelewa, hebu kunjua moyo basi.
Kutokujielewa tu af tabia za kufatiliana maisha ni ushamba na uswahiliYaan hii selfika ina watu wana mambo, lakini wanavyo behave humu ndan ndo maan nikitibukaga nachana makavu, mxieeeeeeeew.
Weeee hebu nipashe shougaaangu ndio nini hivoo??🤔🤔Kumbe sie twakumiss selfika mtu upo vacay unakula mausha shosss vibaya hivoo 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! This is Jf banaaa😁😁wee mbna wengine wanasema nilikua vacay na mtu wa selfika, tena Zanzibar, akat mie nilikua zangu Home Songea nakula dagaa nyasa.
Jaman JF kuzusha msiyoyajua mtakuja mfe na kwa kutupiwa kigorori khaaaaah.
Sisi Wanaume huwa tunaelewa tuu hapa jamaa kazama au anazuga tuu.Umeona GenuineMan hata uandishi wangu kwa mtu mzima anaelewa namna nilivyo kufa
Watu wasiri 🤣🤣Weeee hebu nipashe shougaaangu ndio nini hivoo??🤔🤔Kumbe sie twakumiss selfika mtu upo vacay unakula mausha shosss vibaya hivoo 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! This is Jf banaaa😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣..Naelekea papparoti itakuwa safi sana ukituma muamala kabisa 🙂🙂
🫢🫢🫢🫢 una uchowo na wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
Yani nikae chini nikutumie pesa ptuuu
Ndo hivyooo🫢🫢🫢🫢 una uchowo na wewe
Mnoooooo🤣🤣😂😂Watu wasiri 🤣🤣
🙂🙂🙂 dah haya acha nipite kushotoNdo hivyooo
Hiyo siku nitakuja kwenye huo uzi kucheka tu 😂😂😂😂😂Yaan watu hawatulii kabisa na mambo yao kutwaaa kuyatindikanya ya wengine,
Nakaa kimya tyuuh siku nikitibuka ntamvagaa mtu na hataamini.
Nshachokaaaa.
Wamewanyima nn 🤣Watu wasiri 🤣🤣
Sio kushoto🤣🤣yani upotee kabisa🙂🙂🙂 dah haya acha nipite kushoto
Siachi kuwafatilia 🤣🤣Kutokujielewa tu af tabia za kufatiliana maisha ni ushamba na uswahili
Humu watu wapo kujifunza na kuenjoy