Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naweka vocha kuwa na amani Antonnia ila kila nikikumbuka ya boss Mjep naishia kuogopa wanawake wa selfika waremboo ukijaa kwenye kumi na nane zao watakukamua mpaka utumbo 😂 jokes tuu.
Zileetreeee vochaa zileetreeee vochaaa!! Kakaetu mr vocha anatujali sana wadogo zake na kuamua kushea nasi kwa kile apatacho!! He's one of a kind kwakweli Namuombea sana azidi kubarikiwa yule kaka!
 
JF ina visa na mie, afu sio mjep tyuuh wapo tena wengine wawili hapa hapa Selfika.

Tena mwingne ndo naambiwa eti nlikua najitongozesha kwakee, nkaambia, atoe text, au records au voice calls zangu.

Mtu hata no za hao watu cna, nashangaa JF inavo niandamaa.
Atoe ili iweje? Muda wa kuproviana wrong unatoka wapi bana 😏temana nae

Kila mtu atulie na heka heka zake…
 
Huyo cocastic alipotea mwezi mzima hapa jukwaani na kutuaga juu. Kumbe kapata sponsor chaajabu sponsor wake ndio alikuwa sponsor wa vocha humu jukwaani naamini hata wewe uliwahi kuambulia vocha Chakorii .
wee mbna wengine wanasema nilikua vacay na mtu wa selfika, tena Zanzibar, akat mie nilikua zangu Home Songea nakula dagaa nyasa.

Jaman JF kuzusha msiyoyajua mtakuja mfe na kwa kutupiwa kigorori khaaaaah.
 
Antonnia anaelewa vizuri sana, hapa anatingisha tu moyo wangu zaidi nizidi kuumia ila fresh 🥲🥲🥲 vocha kitu gani kuna siku nilishawawekea vocha za laki na nusu sijui laki mbili humu. Vitu vidogo sana hivyo uchunguu sana Antonnia 😭😭😭😭
Kweli Kabisa mjomba ubarikiwe mnoo!! Ulijua kutubariki sio kidogo eti!! 😘
 
Ni yeyeeee lazima
Yaani ni aibu kufatiliana maisha watu wazima, kwanini kila mtu asishike 50 zake.

Tukikutana hapa tupige porojo then kila mtu na 50 zake, tusifatiliane mambo private ndio maana hata id tunatumia fake
Yaan hii selfika ina watu wana mambo, lakini wanavyo behave humu ndan ndo maan nikitibukaga nachana makavu, mxieeeeeeeew.
 
Back
Top Bottom