Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
hahaha una uhakika na unalolisema mkuuUnajimwambafy na picha za watu mkuu
hahaha una uhakika na unalolisema mkuuUnajimwambafy na picha za watu mkuu
😂😂😂 jamaniii...Priscallia umependeza sana ila nakuomba ukae vizuri samahani kama nimekukwaza.
Unataka nimwage mchele hapa ?hahaha una uhakika na unalolisema mkuu
ipo mkuu naona wameiongeza a jina STATUSLa charz bado ipo tu.
Unataka umfwate
Hey, Visa is granted on arrival, but you have to apply through the turkish embassy and get visa from them for the north side, and thank you for asking
naanza na vinne kwanza vingine nita-snap week ijayoBado kimoja
weka ya makandeNimekuja mbio tena, baada ya kushiba makande....sioni picha walaa![]()
umeongea vizuri sana!Unataka nimwage mchele hapa ?
Kwa uzoefu wangu watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya usalama wana maadili ya usiri sana. Sio kawaida kuanika wazi Identity zao kama unavyofanya wewe unless anafanya hivyo kwa mtu /watu wanaomfahamu. Hivyo ni rahisi kuku spot kwamba wewe sio mhusika wa hizo pics.
Mitaa iyo naigopa kama ukomaipo mkuu naona wameiongeza a jina STATUS
Wazi afandeumeongea vizuri sana!
Namimi siwezi kutoku kuaminisha unavyoamini.
Hahaha kwaiyo huu mwili ni mtu mwingine. Basi sawaView attachment 1259718
View attachment 1259717
PM iko wazi?