Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,638
- 7,145
Usiku mwema wakuu
Natuma mbKesho mkuu Leo mb za mawazo [emoji16][emoji16]
Ok na yakutolea mpendwaNatuma mb
Ila upokee wewe simu
[emoji23]ya vocha haina ya kutoleaOk na yakutolea mpendwa
Usiku mwema wakuuView attachment 1259919
😁😁😁Nilijisahau kumbe unatuma mb[emoji23]ya vocha haina ya kutolea
Mb za buku 2 zinatosha,
Nicheki nkutumie
Sijafikia hukoo mimi jamani
Ugoro una taste ipi ?
You sound like an expert.
Natuma hela ,utanunua mb kwa mpesa ,tigo pesa nk[emoji16][emoji16][emoji16]Nilijisahau kumbe unatuma mb
Shukrani mkuu nilijua matani umetuma kweliNatuma hela ,utanunua mb kwa mpesa ,tigo pesa nk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walah nimechekaaa!
Mkuu kumbe we ni mke
Hata mimbwa yetu ruksa kupost.View attachment 1259922
Hahahaaaa mi ni me nimempost rafiki yangu wa kike akinisaidia kupika.Mkuu kumbe we ni mke
[emoji23]ahsante kushukuruShukrani mkuu nilijua matani umetuma kweli
Rafiki au shemeji etu mtarajiwa mkuu ?Hahahaaaa mi ni me nimempost rafiki yangu wa kike akinisaidia kupika.
OkHahahaaaa mi ni me nimempost rafiki yangu wa kike akinisaidia kupika.
Acha kumuharibia baharia mwenzio😁😁😁Rafiki au shemeji etu mtarajiwa mkuu ?
Ndiyo mkuu ni maeneo fulani vijijini kuna baridi sana.Hayo majani chini inaonyesha hali ya hewa ni baridi na miti inapuputika [emoji23][emoji23]