Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole aisee [emoji23]
mahusiano ni pasua kichwa
kizazi kigumu , pesa hakuna , mapenzi yanasumbua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saiv hakuna kitu kitanichanganya kwa mahusiano.
 
Ile harufu ya chapombe ukute anataka kukubusuuuu uwiiiii😏😏🙌🙌🙌🙌🙌! Mwanaume chapombe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Naonaga Wengine wanafujooo ni mingumi tyuuu uwiii
Aisee chapombe hawafai , ni kukwepa tu mdomo wake hapo .
Bado hapo harufu ya mikojo chooni , shida sana .

wengi wanapiga sana wake zao , pombe ni shetani aisee , inavuruga na kuharibu ndoa
 
Back
Top Bottom