Mweh unadhani zipo sasa!!π€ Juzikati wanafunzi waliiba wakaflash kila kituEwaaaa hapo sasa umeongea ππ
πππ kulaumiwa lazima, huoni mama la mama samia alanavyo laumiwa sembuse wewe π€£π€£π€£ππ uliniboaaaa snaa,, uwa sipendi kulaumiwa, na hapo hapo siwezi kumprove mtu wrong.
Nikablock, ukaona ukahamisha ugomvi sms za kawaida.
Nikasema huyu ni mwarabu,, na me ndo mpemba wake π€£π€£
Nampa mwezi tu, namtafutaa
π₯²π₯²π₯² nimekaa natazama hapa nikijua napata chochote kumbe hamna lol.. usinitese shangaziMweh unadhani zipo sasa!!π€ Juzikati wanafunzi waliiba wakaflash kila kitu
π₯²π₯²π₯² nimekaa natazama hapa nikijua napata chochote kumbe hamna lol.. usinitese shangaziMweh unadhani zipo sasa!!π€ Juzikati wanafunzi waliiba wakaflash kila kitu
π« π« π« π« 1 year wangu.. uumbaji wa Mungu
ππππ weee lawama nyingine jauπππ kulaumiwa lazima, huoni mama la mama samia alanavyo laumiwa sembuse wewe π€£π€£π€£
Ungekuwa karibu ungekula mabusu badala ya sms π π π
All in all wanasema wapendanao wakigombana chukua jembe ukarime... ukijidai msuruhishi utawakuta wanakusema π€£π€£
Hainaga kugombana wala kuachana ni kupumzika tuu
πππ njoo unichinje kwanza nife.. inauma na maandalizi yale ya mama kijacho alafu pyuuuππππ weee lawama nyingine jau
Ila wewe πππ
Thanks kwa ufafanuzi chiefKwa mfano tuseme tu ukungu ni hatari kwa ndege, ukungu ni mawingu yanakuwa chini, ile inasababisha low visibility kwa rubani kuona runway, na mara nyingi utakuta rubani anazunguka eneo hilo karibu na airport kwa matumaini atapata visibility nzuri atue ikishindikana ndipo inabidi kuelekea airport nyengine.
Nahisi kulikuwa kuna shida sehemu zote, control tower na hali ya hewa pia, kama kuna hali ya hewa mbayainabidi control tower wakupe taarifa/warn kwamba huruhusiwi kutua kwa wakati huo.
Tatizo lingine ni pale pilot anakuwa anaendelea kutumia yupo kwenye Visual Flight Rules na anelekea kutua halafu ghafla anakutana na wingu/ukungu, hapo hutojua unakoelekea na utapoteza uelekeo.
Visual Flight Rules ni regulations ambapo pilot anakuwa na uwezo wa kuona vyema, yaani ndege ina operate kwenye nice and clear weather.
Lakini ngoja tusubiri uchunguzi.
Hahaha cha upole Coca
Huyo hajui formula ya kudate na mume wa mtu huyooo!!!
Hakuna shobo za text wala call mpaka yeye akuanzeee! Wivu wa kijinga hakunaaaa.. Just mind your own fcking business kitulizeeee kama maji ya mtungii!!
Eeeeh Si ulipenda bogaa!!
πππππππππ€£π€£π€£π€£!!mnajikuta mshaachana kitambooo.
hahaha hapana chezea formula
ukiambiwa utulie inabidi mpaka akutafute .
Mie nina wivu ,siwezi kabisa mambo hayo
Ila inabidi na wewe uwe na baby wako pembeni akya nani inauma
michepuko wanapitia stress ππ
πππ ngoma ikachoropoka? Hahaaaπππ njoo unichinje kwanza nife.. inauma na maandalizi yale ya mama kijacho alafu pyuuu
Best kapo my foot Hebu wapeleke kisonono zao hukoooo sitaki hekaheka miee!!
Ni mateso kwakweli!!! Yataka moyoooo!!michepuko wanapitia stress ππ
πππ kwaiyo ungekuwa unajiandaa kujifungua π€£π€£π€£ au katoto kangekuwa na mwezi nusuπππ ngoma ikachoropoka? Hahaaa
Lkn hukupaswa ku act vile ujue ππ