Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimecheka 😂😂😂

Sema bado nakumbuka ile siku uliyonisema 🥲
🙂🙂 na ikawaje tukarudi tena hata kuongea .. maana una matusi wewe ya ki Arusha .. alafu una ni block 🤣🤣🤣
 
Ungekuwa umenitwaa, mda kama huu tunaingia wote jikoni, umevaa washamoto nipo nyuma yako kama mkia, nakusaidia kukata vitunguu huku tunacheza cheza dah, sema ndio umenikataa 🥲🥲
Mie niache nipambane nahali yangu tyu mjomba hekaheka na Mapenzi 🙌🙌🙌🙌 Nakuafutia kibinti kimoja kikareeee balaaaaa! Just wait
 
Mie niache nipambane nahali yangu tyu mjomba!! Nakuafutia kibinti kimoja kikareeee balaaaaa! Just wait
Mie nimekuona wewe, nimekupenda wewe, nimekufa na kuoza juu yako.. hao hata mie nawaona, ila mie nimeoza kwako🙂🙂
 
🙂🙂 na ikawaje tukarudi tena hata kuongea .. maana una matusi wewe ya ki Arusha .. alafu una ni block 🤣🤣🤣
😂😂 uliniboaaaa snaa,, uwa sipendi kulaumiwa, na hapo hapo siwezi kumprove mtu wrong.

Nikablock, ukaona ukahamisha ugomvi sms za kawaida.
Nikasema huyu ni mwarabu,, na me ndo mpemba wake 🤣🤣
Nampa mwezi tu, namtafutaa
 
Can't believe that I'm a fool again
I thought this love would never end
How was I to know?
You never told me
Can't believe that I'm a fool again
And I who thought you were my friend
How was I to know?
You never told me
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-113411.jpg
    Screenshot_20221113-113411.jpg
    60.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom