Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Nimelewa na penzi lakoSaint Anne ? hivi we leo umekunywa pombe? yani nina mashaka tena hii weekend...
The way I love you😢
Nimelewa na penzi lakoSaint Anne ? hivi we leo umekunywa pombe? yani nina mashaka tena hii weekend...
Weeeeeeeee niko na my sweetdaddie mjedaaaaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz msururu wenu pelekeniii hukoooo👌👌👌👌👌!!Kumbeeeeeeee
Anatuzuga hapaaaa
Weuweeee😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Boss ledi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa siku nashona kimoja🙆🙆 Nitengeneze na mim
Noma aiseeSi na sie twajitia tuna shida sana dear sijui ndio kuendekeza njaa there is no free lunch ohoooooo!
Naendelea kununuu mimi T😎😎
SawA SawA hyo nzuriKwa siku nashona kimoja
Ila ndo namaliza late sana usiku wa manane
Huwa sikubali nilaze bila kumaliza .
Hahhaa noma aiseeeKwanza atakayekuwa na mume wangu ajipange sana nisimjue aloooo
Yaani nisimjue.
Anajidai kunitupa kisomi, ila anajua deep down nimekufa nimeoza kwakw🥲🥲Khaaa
Mimi naingiaje hapo wakati huyo kaka yangu wa damu😂
Weee jitoe ufahamu tu you are the next target kwahuyo mtu wenyuuu😁😁😁😁!! Ghafla nitashangaaa unaanza kunipiga vijembeee Shikamoo smartphone🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣!!Acha kutuzuga
Kisomi 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anajidai kunitupa kisomi, ila anajua deep down nimekufa nimeoza kwakw🥲🥲
Nakupa Saint Anne mjomba naona Tangu majuzii anawashwaaaa😁😁🤣🤣🤣!!Anajidai kunitupa kisomi, ila anajua deep down nimekufa nimeoza kwakw🥲🥲
Hapana,Nakupa Saint Anne mjomba naona Tangu majuzii anawashwaaaa😁😁🤣🤣🤣!!
Nakupigaje vijembe Mkemia Mkuu Jamani boss wetu Mkuu jf😂Weee jitoe ufahamu tu you are the next target kwahuyo mtu wenyuuu😁😁😁😁!! Ghafla nitashangaaa unaanza kunipiga vijembeee Shikamoo jf🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣!!
Wapi my sweetdaddie mjedaaaaa🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃
Mie napambana nahali yangu mjombaa humu nishashindwaga zamaneeee!! Chukua vibinti vigori vibichiiiii mie acha nilee ankos zako tyu hapa😉😉Anajidai kunitupa kisomi, ila anajua deep down nimekufa nimeoza kwakw🥲🥲
Daaah! Shangazi inakuwaje kwa mdogo wangu, ilhali unajua nimekufa na kuoza kwako 🥲🥲Nakupa Saint Anne mjomba naona Tangu majuzii anawashwaaaa😁😁🤣🤣🤣!!
Mie siwezi kutumikia ma bwana wawili mjomba dhambi nilizonazo zanitosha😎!Daaah! Shangazi inakuwaje kwa mdogo wangu, ilhali unajua nimekufa na kuoza kwako 🥲🥲
Hata Mimi nashangaaAnajidai kunitupa kisomi, ila anajua deep down nimekufa nimeoza kwakw🥲🥲
Mie nakutaka wewe, hao vigori wa kazi gani.. nataka mtu mzima mwenzangu kama wewe.. ila fresh najua hunitaki 🥲🥲Mie napambana nahali yangu mjombaa humu nishashindwaga zamaneeee!! Chukua vibinti vigori vibichiiiii mie acha nilee ankos zako tyu hapa😉😉
You are the next target........🤣🤣🤣🤣🤣! Lazima uingie kwa blacktlist😁😁😁😁😁🤣🤣🤣Nakupigaje vijembe Mkemia Mkuu Jamani boss wetu Mkuu jf😂
Hebu nibless kwanza Jioni Yangu ikae sawa mieee!! Saint Anne Naomba Kiuno nyigu pullliiizzzzzzzzzzzzzzzMie nakutaka wewe, hao vigori wa kazi gani.. nataka mtu mzima mwenzangu kama wewe.. ila fresh najua hunitaki 🥲🥲
Dah poa shangazi, sio kila unapo penda lazima upendwe.. ushunguu sana ila freshMie siwezi kutumikia ma wanna wawili mjomba dhambi nilizonazo zanitosha😎!