Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmh!!
Aisee ila maji yanatisha jamani,au ni mimi pekeyangu naogopa🥲
Sasa hapo kama ndio inaondoka, inaenda uelekeo wa maji haki ya nani naweza zimia..Kwa vile abiria haoni mbele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc utulie, team yako iko mbioni kushuka daraja.
Mama City 😂😂😂😂
Sisi tushakiwasha mazima
 
Attachments

  • JamiiForums-843861516_310x388.jpeg
    29.4 KB · Views: 11
Mmh!!
Aisee ila maji yanatisha jamani,au ni mimi pekeyangu naogopa🥲
Sasa hapo kama ndio inaondoka, inaenda uelekeo wa maji haki ya nani naweza zimia..Kwa vile abiria haoni mbele.
Kuruka juu ya maji ni safer zaidi kuliko juu ya ardhi, kufa kwa maji ni ndege ikizama bali sio impact inapotua juu ya maji unless iwe ndege imeanguka, kwenye rdhi sio...
 
Kuruka juu ya maji ni safer zaidi kuliko juu ya ardhi, kufa kwa maji ni ndege ikizama bali sio impact inapotua juu ya maji unless iwe ndege imeanguka, kwenye rdhi sio...
Mimi kitendo Cha kujikuta tu kwenye maji wakati nilikuwa angani [emoji16]hicho tu kinatosha kunifanya nikate moto.

Tuelezee basi ile ya juzi ilikuwaje kuwaje kiutaalam
 
Kametoka gamboshi halafu kanatafuta dalali mtoto wa mjini
Kakome.
Ya Kawige??
Ni tule tushambwa twa kisukuma tubavaaga suruali za satini ya kung'aa na mashati ya Vitenge vya mifuko ya Cement kama ya kwenye nyimbo za Baba yetu the Late Mwansasu Ephraim.
Waarabu wa pembaaaaa ,, Mambo yenu nawaachia wenyewe!! Hebu Nishike jembe nikalime mieeeee😁!
 
Mwenzio kila nikijaribu nashindwa, tena World cup inakuja soon, chama language [emoji629] naona kabisa haitoboi hata robo, maumivu tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humo ndani kuna namba 2 za Chelsea 😂

Me sahivi nashabikia mpira, sishabikii team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…