Selfika na JF: Snap it. Show it

thank you , nikipika utanionea huruma nakagua gesi mara mbili mbili na kiberiti .

Mwaka huu si mzuri kabisa , tuombe tu Mungu .
ooh pole kwake jamani
Ccy me hua nawaambia watu bora tu tuonekane washamba mim gesi naiogopa mno mno.
Nishaona matukio matatu ya moto ulosababishwa na gesi yani lkn huu wa jana hapana aiseh
Na kuna siku nilisahau heater kweny umeme. Umeme ulikua umekata heater ikawaka na haikua na maji ndani ikaungua ikatoboa ndoo ya mafuta ya kupikia ilikua jikoni pembeni kuna gesi, na kuna friji.

Mtoto angu alikua amelala hajui kutembea moshi ukajaa ndani mim nmeenda kumpokea mgeni kuna rafk angu mwingine alikua sebuleni ety mtoto angu aloshika kitandani akaenda kumshika huku analia ndo kwenda kuzima hapo kweny socket na mtu wa mfagio.

Nilivokuja kuhadisiwa baada ya kumpokea mgeni sikulala wala kula siku hyo nlishinda nmemkumbatia mtoto angu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Khaaaa!!
 
Duh pole kwa hiyo experience..
Mungu awatie nguvu wahanga
 
Mwee 😢


Jamani kama mkikaaa sebuleni watoto walazeni hapo hapo
 
Dah masikini😢
Ajali za moto zinarudisha watu nyuma jamani.. kutoka kuwa na kila kitu na kubaki bila kitu.

Ashukuriwe Mungu aliyewaponya.. Yeye mwenyewe anajua namna gani atawafidia.

Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya majanga ya moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…