imebidi nirudi kwenye biblia kwanza maana nilishaanza kuwa na mashaka na elimu yangu ya biblia
















imebidi nirudi kwenye biblia kwanza maana nilishaanza kuwa na mashaka na elimu yangu ya biblia
















Ha ha ha ha ha ha
Mathayo si inaishia 28, au kumbukunbu zangu haziko vizuri?



Anytime Baba PKanisani muhimu. Iwe mvua iwe jua...!
Thanks for your prayers.
Ha ha ha ha eti matayo inaishia ngapi?Mimi nasubiri utype vzr.. naamini kuna ujumbe mzuri
ndiyo na mimi ikabidi nijiulize hii mathayo ilifika lini huko 56 au biblia ndiyo imeshabadilishwa sie wengine bado tuko na old version?? Halafu huyu mdogo wako si alisema yeye hasemagi uongo??
![]()
Hakijabadilika kitu, ngoja nikishakurekodi sauti yako nikimtumia, I will earn her trust back..Nilikuwa nakukumbusha tu maana yeye ndio google yako.
I will earn yo trust back, ngoja nipate voice note ya sauti ya Atoto.aahh kama ndiyo hivyo basi nishamdelete kwenye list ya sources zangu
Baba P amesema marufuku kuona hata ukucha wangu huku.Watu8 natambua uwepo wako mkwe wangu, RRONDO leo haujapika ubwabwa? Tupia tuone kama umeimprove.
Heaven Sent bado sijasahau.
cute b nasubiri kitenge cha kanisani
Hii bible ya google store haijabadilisha chochote.
Asante Karma, na ndio ukwelii.Haya basi nitakuwa nakuamini wewe tu,, ila ile ya kwamba wewe una sauti nyembamba you said it yourself at first cute b alikazia tu ila ulivyoona kakazia ndiyo ukakanusha..
Kwani yakoje mpendwa unajua sisi me sufuria ni sufuria tu muhimu msosi.@Watu8 njoo uone masufuria, nami ninunulie kama haya mkwe.
Kwamba hauezi kula chakula ya mwaliko?
Si naona madikodiko hapo
Usiniite pia Kaka![]()



mbona hata sisi tunazo za playstore mama yaani nimeshituka mimi
Sisemagi uwongo.
Tatizo hizi bible za kudownload playstore zimeniponza.
Hahahaha hapana siyo mwaliko we soma hayo majibizano kuanzia mwanzo uone kwanini kaniita kwake