Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Kama alivyosema dada atoto. Inaishia 28.Ha ha ha ha eti matayo inaishia ngapi?
Nilisema nina sauti ya upole sio nyembamba bwana.Haya basi nitakuwa nakuamini wewe tu,, ila ile ya kwamba wewe una sauti nyembamba you said it yourself at first cute b alikazia tu ila ulivyoona kakazia ndiyo ukakanusha..



siyo kwa kujitetea huko utadhani kuna viboko,, haki leo umenichekesha mimi jamani..
Asante Karma, na ndio ukwelii.
Mimi nasemaga ukweli sema leo nimeteleza tuuu.
Picha yako. Ndege ya kwenda merekani.Ndege ipi?? 'Bombaning'inia' au??
Picha ipi??![]()
Una jiko la kutumia masufuria haya mkwe?
Sio yale mambo ya kununua antenna kabla ya tiviii...








Nilisema nina sauti ya upole sio nyembamba bwana.
Kabisa, hii safari lazima ifike mwisho.Amalizie safari aliyokwisha kuianza![]()
Kwa kutafuta visingizio tu hujambo!! Siku ile ukasubiri nikaondoka ndio ukapostBaba P amesema marufuku kuona hata ukucha wangu huku.




Picha yako. Ndege ya kwenda merekani.
Hayo masufuria najua sio wewe uloyanunua, wifi anahusika hapo.Kwani yakoje mpendwa unajua sisi me sufuria ni sufuria tu muhimu msosi.
Nifundishe mwaya kaka yangu mpenzi! Niwakomeshe kwa mapozi jamaniTakufundisha mwaya mdogo wangu mpenzi
Msalimie mwenye hivyo viatu.nacheza YopeView attachment 1259604
Ipi sio real?Real pic![]()