Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,378
- 176,233
Si ukaroge!!!Jamani nimeshindwa kuvumilia lakini kwa kweli nimemiss kuroga
Si ukaroge!!!Jamani nimeshindwa kuvumilia lakini kwa kweli nimemiss kuroga
Daah ningekuwa nina muda ningeipandia kule juu ile comment halafu nikaishusha huku chini ili tumuaibishe shetani






Kwani yuko wapi?Sina kabisa picha mie
Hayuko marekani
Pole sana jamaniNimegonjeka ghafla najihudumiaView attachment 1259505



umeanza kujitetea eenh??
Tatizo ataamini vipi ni sauti yangu, kama umempigia mtoto je?
Sio utetezi bali ndio ukweli huo.umeanza kujitetea eenh??
Una miguu mizuri mkuu!! Inafaa sana kufanyia massage!Sakayo huyu wifi yako hataki nikumbuke nyumba ndogo kabisa. Karibuni lunch baada ya ibadaView attachment 1259530
ChipsKaribuni kidogoView attachment 1259536
Nakazia mimi jamaniWatu8 natambua uwepo wako mkwe wangu, RRONDO leo haujapika ubwabwa? Tupia tuone kama umeimprove.
Heaven Sent bado sijasahau.
cute b nasubiri kitenge cha kanisani
Nakazia@Watu8 njoo uone masufuria, nami ninunulie kama haya mkwe.
Kwani yuko wapi?
Mzee baba!!



@Karma, are you there lil sisy?!
Kwani sisi wa bongo tumeisha?!Wee mtoto si urudi bongo
Sio utetezi bali ndio ukweli huo.