Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
tapatalk_1573384681925.jpeg
 
Pamoja Na Kwamba Pesa Imekua Ngumu Tofauti Na Zamani, Bado Mtaani Biashara Ndogo Ndogo Na Kubwa Zipo Nyingi Sana. Ukiona Una Biashara Jitahidi Sana Kua Na Customer Care Pamoja Na Uaminifu Hata Kama Huna Mtaji Wa Kutosha Wapo Watu Watakuja Kwako Kwa Sababu Ya Hizo Terms Mbili.
 
Biashara bado zipo kuna jamaa wanauza kamba za kujinyongea.. Wanasema eti ni laini na hazichubui shingo
Pamoja Na Kwamba Pesa Imekua Ngumu Tofauti Na Zamani, Bado Mtaani Biashara Ndogo Ndogo Na Kubwa Zipo Nyingi Sana. Ukiona Una Biashara Jitahidi Sana Kua Na Customer Care Pamoja Na Uaminifu Hata Kama Huna Mtaji Wa Kutosha Wapo Watu Watakuja Kwako Kwa Sababu Ya Hizo Terms Mbili.
 
FORECASTING: Uchaguzi huu tumeshinda kwa kishindo, nawaomba mliochaguliwa mkachape kazi. Kuna watu waliosusa ni kwasababu walijua watashindwa

Sasa Tz yote iko chini ya CCM, maendeleo yatakuja. Vyama vingine vilikuwa vinatuchelewesha. Watangulizi walikuwa wanafanya mambo ya hovyo
 
Ndoto ya kutisha sana

Back
Top Bottom