Hebu tulia juko mi nipande ndege ala!!!Heri nideki bahari jooh
Njoo kwetu Asap
@Watu8 njoo uone masufuria, nami ninunulie kama haya mkwe.
Kula bata mzee kula bata
Nimegonjeka ghafla najihudumia[emoji26]View attachment 1259505
Msasani Mandazi Road please ukifika nipm atakufuata kukupokea mpendwa.Naomba location asap
Watu8 natambua uwepo wako mkwe wangu, RRONDO leo haujapika ubwabwa? Tupia tuone kama umeimprove.
Heaven Sent bado sijasahau.
cute b nasubiri kitenge cha kanisani
Hebu tulia juko mi nipande ndege ala!!!
Halafu usijisahaulishe, nasubiri picha.
Msasani Mandazi Road please ukifika nipm atakufuata kukupokea mpendwa.
@Watu8 njoo uone masufuria, nami ninunulie kama haya mkwe.
Mmhh
Hehehe...sasa umepewa mwaliko waguna tena...hebu du ze nidful
Huyu nikikutana nae kariakoo nitamwita jina lake
Wee mtoto si urudi bongoThe shot was taken by my one and only Hubby, nilipoenda kumtembelea katika chuoni kwake [emoji2356][emoji2356]
View attachment 1258877
Hahahaha chenye ninachoenda kukifanya hata shetani hawezi afiki
Haha nipo nipo kaka