Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mwambie atulie sisi bado sana!Bora umekuja
Kuna kasukuma kashamba kananisumbua😂
Mwambie atulie sisi bado sana!Bora umekuja
Kuna kasukuma kashamba kananisumbua😂
muda umepita kidogoHee
Mbona zuri kuliko bei😂
Mtaa gani umenunua nikasagule?
Nimesubiri jibuuu hadi basi haya adhabu yako hebu niwekee jicho kwanza lile jicho matratraaa sana la kurembua!Nilikuwa nabadili simu,
Tanesco ni Alqaida
Tuone🤭
ooh Basi uweke style yako , utakavyopendeza sasa 🥰Hapana dear kwa ku staili Nywele fupi hilo halina shida kama kusuka ya rangi rangi!
Kufa na kuzikana!😊Lecturer is my all time mchumba😂
WeeeNimesubiri jibuuu hadi basi haya adhabu yako hebu niwekee jicho kwanza lile jicho matratraaa sana la kurembua!
Mimi wewe Mimi ntakufa na wewe.Kufa na kuzikana!😊
Burifiuuuona vyangu
Naomba Jicho rembua kwanza nimekuuliza hujaja hadi nikaahirisha ujue!!Weee
Jicho limekaza ati,
Weka picha
thank you 😍😍Burifiuuu
Kama ni zuri hata ikiwa uniform ni sawa tumuda umepita kidogo
Bei itakuwa hiyo ..
Congo huko
Kama kuna yale ya vidoti , ninalo moja humo .. naonaga sare sare sana.
Hebu mwambie wewe mchumba.Mwambie atulie sisi bado sana!
Vinakupendezathank you 😍😍
napenda kusuka vibutu mie
yeah zuriKama ni zuri hata ikiwa uniform ni sawa tu
Wekaa picha kabla sijawaita wanafunzi wakuibie tena simuNaomba Jicho rembua kwanza nimekuuliza hujaja hadi nikaahirisha ujue!!
Yaani nguo ikishakuwa tu ndefu Mimi naipenda.yeah zuri
Uniform hizi tunavaa ndo uwezo wetu. hakuna jinsi.
Asante na hili joto , unajikuna vizuri nywele .Vinakupendeza
Tunapendana sana hilo lipo wazi kila mtu anajua humu!.wasikusumbue kabisa😊Mimi wewe Mimi ntakufa na wewe.
Nakupenda nakupenda nitazidi kukupenda
Ntakufata pale pote we utapokwenda.
nguo ndefu nzuri sanaYaani nguo ikishakuwa tu ndefu Mimi naipenda.
Ngoja kale kasukuma kaje kaone.Tunapendana sana hilo lipo wazi kila mtu anajua humu!.wasikusumbue kabisa😊