Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Umelinunua bei gani?yeah ni nzuri
magauni ya kariakoo
Umelinunua bei gani?yeah ni nzuri
magauni ya kariakoo
Acha wamfate tu jamaniMtongoze
Unakwama wapi
Hiyo ni asist nakupa
Kuna wenzio nao wanamzengea
Ushatoka kwa bwana pep upo kwa Lect tenaaaa... Wigelekelo kumbee komaaa soon unaopoa chombooo🤗🤗🤗🤭🤭🤭!!Naanzaje kumuacha mchumba Jack Palladino
Eti niende kwa mvuta sigara kiguu na njia Wige msukuma wa chato ndanindani huko
duh
Lol kumbe!! Mie kijeba kisicho na experience kihivo bestee😉😉!!
afu kumi shoga..Umelinunua bei gani?
Yani zikifika tarehe 15 hizi sijui!!Maisha ndo haya haya
tusijichoshe aisee
mie zangu hadi zimefumuka
kwamba utakuwa ushanyoa mpaka tarehe hiyo .Yani zikifika tarehe 15 hizi sijui!!
Naweww walewaleee khakhakhaaaa...😀😀 sema kakichwaaa ndio nawazaaaa!kwamba utakuwa ushanyoa mpaka tarehe hiyo .
usinyoe madam
hiyo ndo itakufanya usinyoe.Naweww walewaleee khakhakhaaaa...😀😀 sema kakichwaaa ndio nawazaaaa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Eti ntafanana na wanafunzi 😎😎😎!!hiyo ndo itakufanya usinyoe.
nasikia ukitaka kunyoa ni direct unaenda saluni , husemi hata
Le MadameNaweww walewaleee khakhakhaaaa...sema kakichwaaa ndio nawazaaaa!
Forever and always best za masiku!!Le Madame
unaweka style tu dear ,na kulivyo na style fupi nyingi siku hizi .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Eti ntafanana na wanafunzi 😎😎😎!!
Ndiyo Mjukuu, ingawa ni combine ya Vifaa vingine pia including compressor n.kKumbe hiko ndio kichimba kisima babu!! !!??? Lol nilikua sijuiii
Basi itakuwa vyemaKama kawaida nitakuwa kanisani na kulisha kuku wangu nyumbani
Kuku wangu huyuAnajitoa Ufahamu tu Anne anakuelewa kinomaa!! Wee mkomalie ivoivo one day yes![]()