Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

eeh baba pasta huyo ndo apenda nguo ndefu .
Bora uvaee vile apendavyo bae wako

fupi nazo nzuri sana , itakuwa huvai vimini ndo maana.
mie navaa nguo zote tu ..
Miguu yangu haipendezi nguo fupi.
Huwa najisemea😂
Alikuwa anasema lazima uvae,
Nashukuru tu Mungu naye aliona hazinipendezi.
 
Dada Darlin Karibu nipo na kondoo wqngu wote
20221105_173713.jpg
 
Walipigwa biti balaa!! Hivi vitoto vya mwaka huu ni vihuni kweliii ....tukavibana kumbe vina chemba yao huko msituni viko team mtu 17 ..
Chemba ina masufuria hukohuko unga Michele mafuta bange pombe midamida vinatoroka shule vinazama chemba kupikaa nakufanya yao..Sasa ile juzi kubananishwa baadhi wakataja chemba ilipo tukavamia wengine wakakimbia kakabaki kamoja kako njwiiiii hakawezi hata kukimbia kamelewaaa form 1 imagine!
Cha chaaa🤣🤣🤣🤣
Kuna siku watawapiga
 
Si vikaandika barua kwa mkuu wa shule ku claim virudishiwe vitu vyao vikatishia vitachoma shule kwamba kabla ya tarege 25 November vitu virudi vikasema kumbe grupuni kuna na form 4 vipuuzi sana!!
Aisee 🤣
Wakichoma shule wapasuliwe matako na wafungwe ndani
Hakuna namna
 
Back
Top Bottom