Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nguo ndefu nzuri sana
ninalo moja refu , nalipenda , sijali hata kma linanifanya niwe bonge .
Mimi Kuna manguo nimeshona kama bibi harusi vile🤣
Kisa tu mtoto wa mtu alisema anapenda nguo ndefu..
Na nashukuru Mungu amenielewa kama nataka nguo ndefu maana kuvaa fupi hata sipendezi.
 
Mimi Kuna manguo nimeshona kama bibi harusi vile🤣
Kisa tu mtoto wa mtu alisema anapenda nguo ndefu..
Na nashukuru Mungu amenielewa kama nataka nguo ndefu maana kuvaa fupi hata sipendezi.
eeh baba pasta huyo ndo apenda nguo ndefu .
Bora uvaee vile apendavyo bae wako

fupi nazo nzuri sana , itakuwa huvai vimini ndo maana.
mie navaa nguo zote tu ..
 
Mimi nisingerudisha😂😂
Simu yenyewe ya boss leide narudishaje?
Walipigwa biti balaa!! Hivi vitoto vya mwaka huu ni vihuni kweliii ....tukavibana kumbe vina chemba yao huko msituni viko team mtu 17 ..
Chemba ina masufuria hukohuko unga Michele mafuta bange pombe midamida vinatoroka shule vinazama chemba kupikaa nakufanya yao..Sasa ile juzi kubananishwa baadhi wakataja chemba ilipo tukavamia wengine wakakimbia kakabaki kamoja kako njwiiiii hakawezi hata kukimbia kamelewaaa form 1 imagine!
 
Back
Top Bottom