Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,309
Asante sana babu kweli elimu haina mwisho ! Wabheja sanaNdiyo Mjukuu, ingawa ni combine ya Vifaa vingine pia including compressor n.k
Asante sana babu kweli elimu haina mwisho ! Wabheja sanaNdiyo Mjukuu, ingawa ni combine ya Vifaa vingine pia including compressor n.k
Khakhakhaaaa... Inapendeza sana rafiki!!Kuku wangu huyu
Manati ya kazi gani
KwambaAcha wamfate tu jamani
mie siwezi kutongoza

siwezi hiyo michezo aiseeKwamba
Utaonekana malaya aliyekubuhu
Basi sawa
Huo muda wa hizo staili sasa!! 🤔🤔 Nahisi ntachekesha Hakyanani tena!!unaweka style tu dear ,na kulivyo na style fupi nyingi siku hizi .
Mara moja tu madamHuo muda wa hizo staili sasa!! 🤔🤔 Nahisi ntachekesha Hakyanani tena!!
Ukimuelewa unamvaa tu dear japo binafsi kamwe siwezi!!!siwezi hiyo michezo aisee
nitulie tuli ..
Nilikuwa nabadili simu,Saint Anne nikuoneshe tano kichwa zangu nizosuka??
Na hivi umeonyesha dalili za kunitaka sahau kabisa kunionaBasi itakuwa vyema
Maana utakuwepo nyumbani
Nitakapokuja nazidi kukupenda zaidi
Ngumu , huwa inaleta disappointment tu 😔Ukimuelewa unamvaa tu dear japo binafsi kamwe siwezi!!!
UsijaribuNgumu , huwa inaleta disappointment tu 😔
kazi ngumu kweli
hapana hazijawahi mkataa mtuHuo muda wa hizo staili sasa!! 🤔🤔 Nahisi ntachekesha Hakyanani tena!!
siwezi hata ....Usijaribu
Heeafu kumi shoga..
Utaishia kufedhehekasiwezi hata ....
Aisee haiwezekani kuachana kirahisi!😊Naanzaje kumuacha mchumba Jack Palladino
Eti niende kwa mvuta sigara kiguu na njia Wige msukuma wa chato ndanindani huko
Lecturer is my all time mchumba😂Ushatoka kwa bwana pep upo kwa Lect tenaaaa... Wigelekelo kumbee komaaa soon unaopoa chombooo🤗🤗🤗🤭🤭🤭!!
Hapana dear kwa ku staili Nywele fupi hilo halina shida kama kusuka ya rangi rangi!hapana hazijawahi mkataa mtu
au ni nje ya maadili ya kazi ?
Bora umekujaAisee haiwezekani kuachana kirahisi!😊
Hio sentensi inaendelea... enhee And Wige??Lecturer is my all time mchumba😂