Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
nimekupa ruhusa Kaka yangu .Usiniruhusu kuzoom mdogo wangu![]()
nimekupa ruhusa Kaka yangu .Usiniruhusu kuzoom mdogo wangu![]()
Weeee umenona sana dear!ah wapi
ah steki nizitolee wapi mie
pangu pakavu mie
labda juu ndo nimenonaWeeee umenona sana dear!
Hamna dear uko vizure mbona!!labda juu ndo nimenona
chini huku nasindikiza 😂😂
nipo kama mchaga tu mie 😂😂Hamna dear uko vizure mbona!!
Una utani 🤣🤣🤣🤣 ngoja wajeeee😁😁😁😁!!nipo kama mchaga tu mie 😂😂
Kuna siku marafiki tutatengana
hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda
sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.

Tutakumbuka
tulivyokuwa tunachat
tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana
na kushirikiana
tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu
tukikimbizana
huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha
za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.

Watoto na wajukuu zetu watatuuliza 
?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao" 

Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki

na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.

Onyesha upendo
na moyo
wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.

Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii

Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo
ni kitu cha thamani sana!!

Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati
vizuri. 

Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema 

navizia mtume na mimi nitumeUnatutegea mjeda!
wachaga wakoje?nipo kama mchaga tu mie 😂😂
wanisamehe bure jamani 😂😂Una utani 🤣🤣🤣🤣 ngoja wajeeee😁😁😁😁!!
tafuta mmoja umuone 😂😂wachaga wakoje?
Hakika mkuu,MUHIMU```
Kuna siku marafiki tutatengana
hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda
sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbuka
tulivyokuwa tunachat
tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana
na kushirikiana
tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu
tukikimbizana
huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha
za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki
![]()
![]()
![]()
na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendo
na moyo
wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo
ni kitu cha thamani sana!!
![]()
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati
vizuri.
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema![]()
Hahaha, hili gauni ni ulienda church au...nilikaa na mtu kavaa hivi kanisani kwangu!nimekupa ruhusa Kaka yangu .
Ila Ukikuta aliebarikiwa ni amebarikiwa kweri kweri!!tafuta mmoja umuone 😂😂
nianze kukuona wewe kwanzatafuta mmoja umuone 😂😂
Wee muongo mjeda huwezi selfika hata kwa mtutu wewe 😎!!navizia mtume na mimi nitume
hahahahaha,si kweli,mtutu kitu kingineWee muongo mjeda huwezi selfika hata kwa mtutu wewe 😎!!
Mimi nimeridhiaNatamani kabla sijaolewa niwe mrembooo msaaafi kama wewe Nkamu.
Nisije kutia aibu na magaga,nikamchania mtoto wa watu mashuka.
nilienda nalo church ehHahaha, hili gauni ni ulienda church au...nilikaa na mtu kavaa hivi kanisani kwangu!
Hahahaaa... hadi weyee waogopa mtutu mjeda khakhakhaaaa!!hahahahaha,si kweli,mtutu kitu kingine