Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi mwenyewe nawaza kunyoa na kakichwa kama katuni hapa ndio nawazaaaa😂😂😂😂!! Juzi nilitoka kufumua zilee nikataka kwenda saluni kunyoa wadada walionifumua wakanisihisihiii usinyoe madam usinyoee nikasuka twende kilioni kwanza izoizo naenda nazo kazini sina mudaaaa!! 😁😁😁 Ila ntazinyoa siku si nyingi!!
usinyoe boss lady
unavyopenza na kusuka jamani
mie hapa na vibutu na sijali wala nn
 
IMG_20221105_153201_335.jpg

Kwa mgao huu wa Maji wa Dawasa Wacha tujihami Kwa kujichimbia Visima tu 🤪

Hello weekend 🥂
 
Back
Top Bottom