Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Natia aibu
Kuna kawiki nilikuwa nashinda kwenye vumbi yakaja

nimepambana nimeyatoa ila sasa nataka nipamvane kurudisha ulaini wa miguu mwee.

Yaani Nkamu nikifika hata robo tu ya urembo wako mbona ntamshukuru Mungu.

Nikimalizana na shughuli za shamba nikirudi mjini yaani nitakuwa nafanya kazi moja tu ya kujikoboa na scrub mwili mzima.
Ohoo

Kujikoboa tena
 
bado nipo nazilia time kwanza
Mi mwenyewe nawaza kunyoa na kakichwa kama katuni hapa ndio nawazaaaa😂😂😂😂!! Juzi nilitoka kufumua zilee nikataka kwenda saluni kunyoa wadada walionifumua wakanisihisihiii usinyoe madam usinyoee nikasuka twende kilioni kwanza izoizo naenda nazo kazini sina mudaaaa!! 😁😁😁 Ila ntazinyoa siku si nyingi!!
 
Back
Top Bottom