Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Eeh mie nimevaa hilo jeupe hebu zoom KakaHem piga tena vizuri madam, mbona mimi hapo sikuoni vizuri eti!!
Eeh mie nimevaa hilo jeupe hebu zoom KakaHem piga tena vizuri madam, mbona mimi hapo sikuoni vizuri eti!!
Kinini hiko mjomba Naomba samare sikuhizi mb za kubip ujue!!😉
Njoo kule tuyajenge 🤭🤭 vocha kitu banaaa kwa shangazi mzuri mzuri kama wewe 😁😁Kinini hiko mjomba Naomba samare sikuhizi mb za kubip ujue!!😉
Usiwaze nimefikaa mjombaa!Njoo kule tuyajenge 🤭🤭 vocha kitu banaaa kwa shangazi mzuri mzuri kama wewe 😁😁
ukianza na wewe ?Tupieni mlizovimbiwa chamcha basiii!
Nimemisije zile vocha za Eftano tano humu mjomba Walai vifurushi vivopanda sikuhizi uwiii!!Njoo kule tuyajenge 🤭🤭 vocha kitu banaaa kwa shangazi mzuri mzuri kama wewe 😁😁
Shangazi mzuri mzuri kama wewe sio wa kulilia vocha.. alafu unajua pa kunipata sasaNimemisije zile vocha za Eftano tano humu mjomba Walai vifurushi vivopanda sikuhizi uwiii!!
Nawekaje wakati nimepitwaBasi Umepitwaaaa !!! Weka hilo jicho kungu nimelimiso kinoma noma!!
Hahahahahaa mie nimevimbiwa na wali ndondooo hapaaa dear😁😁😁😁!!ukianza na wewe ?
Hahahahahaa mie nimevimbiwa na wali ndondooo hapaaa dear😁😁😁😁!!
Acha kabisa napumulia juu juu tu hapa!Nimeona aisee .
nimeshushia togwa hapo tumbi lipo full.
maisha ndo haya hayaAcha kabisa napumulia juu juu tu hapa!
Siasa hizooooo fanya wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nawekaje wakati nimepitwa
Kabisaaa..lile gauni hujapiga kwa juu nionepo dizain yake dear!!??maisha ndo haya haya
tupumzike na kuenjoy life.
mweh sijapigaKabisaaa..lile gauni hujapiga kwa juu nionepo dizain yake dear!!??
Lol hope umependeza na ulivo na steki steki utakua umenougaaa balaa!!mweh sijapiga
juu ni mikono mirefu lenye maputo .
ah wapiLol hope umependeza na ulivo na steki steki utakua umenougaaa balaa!!
Usiniruhusu kuzoom mdogo wanguEeh mie nimevaa hilo jeupe hebu zoom Kaka
