Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Ndo maana huwa natembea na kisu au pepper spray,,
Kwa ajili ya nini tena mwisho utapata kesi ya kuua
Ndo maana huwa natembea na kisu au pepper spray,,
Kweli tena,
Nina hakika watu wengi tu watakuwa wanakuambia hivi.
Wee pozi tu la kuvizia kipogo mbona!!Umezembea
Umepoteza kiuno nyigu cha mwezi uliopita
Ntakosa uhuru wa kujiachia nitakavyo humu mjomba!!!! 😎Na hataki mtu yani
Kweli kabisa Saint Anne do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!zamu ya Anne kuselfika jamani
Dada Saint Anne please tubariki
Mkiwa na watu uhuru huwa unapungua eehNtakosa uhuru wa kujiachia nitakavyo humu mjomba!!!! 😎
Mkiwa na watu uhuru huwa unapungua eeh




! Hili nalo tukalitizame mjomba
!Leo ni zamu yako tu boss lediiKweli kabisa Saint Anne do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Natamani kabla sijaolewa niwe mrembooo msaaafi kama wewe Nkamu.Nkamu bana
Asante Mama
hata sasa hivi wewe ni mrembo Nkamu wanguNatamani kabla sijaolewa niwe mrembooo msaaafi kama wewe Nkamu.
Nisije kutia aibu na magaga,nikamchania mtoto wa watu mashuka.
Sasa kama Joy ni eneo lako la kujidai, ama hapo karibu Live lounge na Deez Pub kwa nini usipajue Six kwenye mnada wa mbuzi...kesho zitajaa Harrier na ndugu zake hapo six balaa. Bwana bwana itabidi niache kula nyama ya mbuzi..its too much nowKiwanja cha Nyumbani hiko jumamosi nilikua hapo
Kwamba ukiwa na bebe humu unakosa kujiachia? Mbona...🤣🤣 aah au basi mkuu wangu madam ze boss lady!!Ntakosa uhuru wa kujiachia nitakavyo humu mjomba!!!! 😎
mnategeana na kuviziana eehLeo ni zamu yako tu boss ledii
kumbe eehNtakosa uhuru wa kujiachia nitakavyo humu mjomba!!!! 😎
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 malizia tyu mr mandingo kwamba Mbona mate anajiachia na humbani wala neneee same aplies to you😎😁😁😁 Hahahaha.. humu wajua 🙌🙌🙌🙌🙌 kitamboooo 😁😁 Habare ya siku mingi✋!Kwamba ukiwa na bebe humu unakosa kujiachia? Mbona...🤣🤣 aah au basi mkuu wangu madam ze boss lady!!
Unatutegea mjeda!mnategeana na kuviziana eeh