Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeeh, kuna miamba humu ya mipira ya faulu..hahaha
ambao naruka nao ni walio vaa vikukuu, wachoma nywele plus tatoo , nguo za chui chui na kulalia mchana maeneo ya public ndio password zangu zinakuwa zina nihakilishia funguo niliyo nayo inafungua😁😁😁 walio smart smart unaweza kuta unakula harasa.. sema nowday nimekuwa shabiki tu
 
Mmmh mkuu hapa umezingua..hahaha!!
 
Mmmh mkuu hapa umezingua..hahaha!!
Kuna maeneo tukikaa kuna code ukitazama tu, unajua hakatai na unajua anae kataa hata kama kavalishwa pete masaa kadhaa yaliyopita, kuishi nao kama umefuga nyoka siku yoyote anaweza akakuchapa jino nyoka hana brain😁😁😁😁 wale tunakaa nao kwa kujilipua , kuishi nao unakuwa huna tofauti na wanao jitoa muhanga
 
Hahaha, mimi nikiona pete hata kama nilishaanza kutumia kichwa cha chini kufanya maamuzi, naahirisha hapo hapo...sitaki shari na watu hata kidogo.🤣
 
Sema Bro unaonekana una hekima alafu heshima nyingi na unapenda kulinda heshima yako na wengine, sie wengine hatujaumbwa kama tulizaliwa kuja kupambana hapa duniani🤣🤣🤣🤣
 
Hamna kitu mkuu,
Nikikutana na mipira iliyokufa siachi hata kidogo, labda ladha isiwe ninayoipenda, sema wenye pete zao kwa kweli nakimbia mbio...
 
😁😁 wenye pete wengi wana stress wanataka faraja, sema kucheza makini sana. Ndoa zipo ICU usione watu nje wana ng'aa ukigusa tu unaenda kula .. ila mbinu za ki TISS zifanye kazi, avoid text , mawasiliano, kutumia gari yako na eneo lako, futa alama yoyote ile upitapo.. na uwe na control kwa mwanamke mbona hapa hata mwana atakuja kukulelea la junior kako 🤣🤣🤣🤣
 
20221104_132800.jpg
 
Hahaha, dah vijana mna dhambi sana aisee. Mimi nakesha na kufunga nisijepata Jr wa pembeni, kutafuna hapo Mungu asamehe tu manake unakutana na kitu akili ina-seize kwa mda..ila Jr wa pembeni ni BIG NO!!
 
Brother! Mungu kakaa pembeni na ndoa nyingi sana, na shetani katamaraki .. Niamini mie brother yanayo endelea kwenye ndoa yanaseketeshaa sana, ndoa zimekuwa motoni.. warembo hadi kuamua kutunuku na kuzaa nje sio wanapendaa ... ila ni jangaa sana.. ndoa 100% ni asilimia 20% ndio unaweza kuta zina mapafu zingine zinapumulia machine, pita ustawi, nenda makanisani vilio vya ndoa kuna wake wazuri kinoma wa watu, ukitaka ni simu moja tu😟😟😟😟 sijui ndio wanasema God forbid...
 
Kuna maeneo tukikaa kuna code ukitazama tu, unajua hakatai na unajua anae kataa hata kama kavalishwa pete masaa kadhaa yaliyopita, kuishi nao kama umefuga nyoka siku yoyote anaweza akakuchapa jino nyoka hana brain wale tunakaa nao kwa kujilipua , kuishi nao unakuwa huna tofauti na wanao jitoa muhanga
Utakuja utolewe marinda blood faken
 
Back
Top Bottom