Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,283
- 21,538
Weeee akati ushahonga saivi umefilisika.Tena akae kwa kutulia nilimwambia urithi wa kibanda cha vocha nimeshamuandikia yeye
Yaani wewe ukifa huozi ujue 😂😂
Hiyo ni uwakika mbona kashanunua vocha tayari we tulia tuli aje aumwagilie moyo wako na vocha ufurahi mwenyewe. Na ameahidi kama utazidisha mapenzi kwake ikiwemo kumjulia hali kila wakati na kumchora tattoo basi atakununulia Jeep Wrangler na atakuhamisha kwa muhindi uje usimamie migodi yake huku bariadi. Lenie nyota yako inang'aaa mamaYaani wewe ukifa huozi ujue 😂😂
Ndio anibariki na vocha moyo wangu ufurahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear lolkha macho yana usingizi sijui
Hadi imeeisha [emoji23][emoji23]
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear lol
Muulize hiyo tattoo nimchore kwenye paji la uso akiwa anatabasamu au anacheka kabisa? Ili jioni niende kumchora 😂 sitaki kucheleweshaHiyo ni uwakika mbona kashanunua vocha tayari we tulia tuli aje aumwagilie moyo wako na vocha ufurahi mwenyewe. Na ameahidi kama utazidisha mapenzi kwake ikiwemo kumjulia hali kila wakati na kumchora tattoo basi atakununulia Jeep Wrangler na atakuhamisha kwa muhindi uje usimamie migodi yake huku bariadi. Lenie nyota yako inang'aaa mama
Hauko kazin?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usingizi hauna adabu
nimetoka , nipo nashangaa huku .Hauko kazin?? [emoji23][emoji23]
Dear x umependeza
Umemteka kijana wa watu natamani na mm uniteke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweh wewe kijana , sijawahi teka mtu mie ...
Hana kitambi yupo flat Ila ana komwe [emoji22][emoji22]Yolly yolly yuko na flat tummy eeh ?
Hahaha bora anacho kimojaHana kitambi yupo flat Ila ana komwe [emoji22][emoji22]
Jana hujanipigia 🥴Umemteka kijana wa watu natamani na mm uniteke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebooooo embu tulione [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha bora anacho kimoja
Mimi ninavyo vyote [emoji23]
Nikikupa location uje sitak uje bwana wako [emoji34][emoji34][emoji34]Jana hujanipigia [emoji3061]
Uko wapi ,Nikuteke
naogopa Yolly akinifuata sasa [emoji23][emoji23]
kipi uone sasaEbooooo embu tulione [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lips tu nionekipi uone sasa
lol 😂😂Nikikupa location uje sitak uje bwana wako [emoji34][emoji34][emoji34]
Au uje na Poker maana mnaendanalol [emoji23][emoji23]
ni wewe tu na mimi