Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Si ulichana mikekaUlimtafuta nani? Nataka nijipime nguvu..
Shemeji☺️Shemejiiii
Shemejiiii
Shemeji☺️Shemejiiii
Shemejiiii
Mali za watu shekhePole chibeby wangu!
My beautiful sweet sixteen habibty wangu. Umenoga sana I'm inlove again with you![]()
OhoooAww love of ma life, asante sana mno
![]()
🤣🤣🤣
Aisee, kumbe wana JF mmeniona,
Nipo yeah! Nafuatilia kwa umakini sana.
Ni mimi hapa.

Aaah, hahaha mengine ni maji marefu mie siyawezi! Fanya kunitafutia tena, nakuaminia.Si ulichana mikeka
Ka siku ulikuwa unapata kigugumizi kwa Tinsley..
Nikakusukia mikeka umachana yote.
Huyohuyo yalikuwa maji mafupiAaah, hahaha mengine ni maji marefu mie siyawezi! Fanya kunitafutia tena, nakuaminia.
Usinikoseshe wachumba tafadhali shemejiMali za watu shekhe
Ng'ombe mia tumetoa
Tumelipa kidogo lakini
Kaa kwa utulivu
Shipa litakuhusu
Hyo sijawai Ila najua kushona yale ya Uzi za kufumia vitambaa Ila yanachosha mnoNani mwingine aliwahi kushona haya madomati ya milangoni?
Ngoja nijikumbushe enzi za ujana
Hahaha, subiri kwanza Anne. Mie bwana domo zege, haya mambo mmmh!Huyohuyo yalikuwa maji mafupi
Na hili inabidi litazamweee pia ...😀😀
🥰🥰🥰🥰
You are back... Nani alikuficha🥰🥰🥰🥰
,Poker lini umeenda kuwa Carrasco putinHiyo ni uwakika mbona kashanunua vocha tayari we tulia tuli aje aumwagilie moyo wako na vocha ufurahi mwenyewe. Na ameahidi kama utazidisha mapenzi kwake ikiwemo kumjulia hali kila wakati na kumchora tattoo basi atakununulia Jeep Wrangler na atakuhamisha kwa muhindi uje usimamie migodi yake huku bariadi. Lenie nyota yako inang'aaa mama

Wakati nilikusaidiaHahaha, subiri kwanza Anne. Mie bwana domo zege, haya mambo mmmh!