Ebu tuoneEeeeh janjaa nimerudi na nimenawiri haswaaaa,
Mimba iko hapa natafuna embe mbichi, udongo, mate natema mda wote.
Sikufichwaaa na mtuuu, nlikua tu nakula good time.
Ebu tuoneEeeeh janjaa nimerudi na nimenawiri haswaaaa,
Mimba iko hapa natafuna embe mbichi, udongo, mate natema mda wote.
Sikufichwaaa na mtuuu, nlikua tu nakula good time.
Uone nn tenaEbu tuone
Hana mimba huyo ana kitambi
unavyoona wewe yafaanambie basi ☺️☺️
Sawa Bossunavyoona wewe yafaa
Yolly yolly yuko na flat tummy eeh ?Hana mimba huyo ana kitambi
Abeeeeeeh nimekimbia had kujikwaaa, haya nambie.

Si uselfike tukuoneAbeeeeeeh nimekimbia had kujikwaaa, haya nambie.![]()
😍 Brother MjepMrembo 😍
Umehadimika sweetheart😍 Brother Mjep
Umehadimika sweetheart
Humu ndani tupite kwa kunyata aloo!
Kwa nn?!😊Humu ndani tupite kwa kunyata aloo!