Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjep hana mwingine zaidi yako mtoto mwenye shape lake guu la bia mpaka muhindi ameamua akufanye private secretary. Mjep hana jeuri ya kukuacha nakuthibitisha hilo subiri baada ya nusu saa anakuja na vocha ya voda 10k kwaajili yko. Lenie unataka upendweje jamani?
🤣🤣🤣 wee nani kasema

Mjep anapenda sana totoz, saivi kahonga hadi kibanda cha vocha imajin!
 
Back
Top Bottom