Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
National Anthem achana na hayo mambo mengi...twenzetu tukanywe ☕
hahahahaha
hahahaha,chief niaje
Mama kasema mtachangiana mlipe🤣🤣🤣🤣
Mahari nani analipa??
Na mimba yako 😁🤣🤣🤣🤣
Mahari nani analipa??
Unatumia console ganiNgoja nmalize kuwacheki GEITA wakimfumua mtu
Poa sana mkuuhahahaha,chief niaje
Karibu hukuNational Anthem achana na hayo mambo mengi...twenzetu tukanywe ☕ View attachment 2401288
Sijui nikulipe...sema wacha tuKaribu huku
View attachment 2401405
Nilipe tu mkuu Kwa leo.Sijui nikulipe...sema wacha tu
HuyooooooooooHamjambooooooooooooooo!!!
Nimewamic mnoooooo woteeee,
![]()
Ni Znz au bara?Hapa ndipo huwa tunapendelea kula bia na kupiga stori na marafikiView attachment 2401415