Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Mimi mzimambaya sana aisee
vipi mzima wewe ?
Habari ya weekend?
Mimi mzimambaya sana aisee
vipi mzima wewe ?
nzuri vipi wewe ?Mimi mzima
Habari ya weekend?
Selfika tushuhudie kama kweli weekend ni tulivunzuri vipi wewe ?
jumamosi tulivu
Na wewe umeandika nn, wewe shoga uliyekubuhu acha shobo kwa wanaume nishaoa nafasi ya kula mwanaume sinaSorry vidmate napenda kuwachokoza wanaume kama wewe sababu ulivyoeleza meishiwa nguvu ningekuwa ke ungenioa kbs
Kaka nitumie id tukiwashe mwananguMimi boss nacheza kama game sio mpira kama wengine mnavyofanya so nikicheza na wewe ujue kabisa sitacheza Kama mpira ni game trick kibao kama tunacheza kamari
Mama kasema unioe
Unachokoza wanaume ukitegemea mods wakutetee ilihali wewe ndio Una shobo, unatafuta ugomvi usiouweza kwanini?
habari ya leo KakaSelfika tushuhudie kama kweli weekend ni tulivu
mie au umekosea 😂😂
Wewe huyo huyomie au umekosea 😂😂
nipo poa vipi wewe ?
Mbona hujanipa taarifa Kaka
Dah....jumamosi tulivu tunazurura
Joto yaani ngoja tuitulize tu
Amebanwa na majukumuJoto yaani ngoja tuitulize tu
sijui yuko wapi , sijamuona leo humu .